BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
WanaJF,
Eti ni wapi Dar ninaweza kupata African prints za quality nzuri na kuvutia?Zinatoka nchi gani? Bei haina neno nitapambana nayo mathalan nipate bidhaa yenye kiwango kizuri.
Natanguliza asante.
BelindaJacob
**********