Dah huyu nyu****mb unampa za uso hadi aibu. Ebu mpe elimu coz humo kichwani ni ZERO kabisaKatika kutoa maoni yetu kwa ajili ya nchi yetu tusitumie maneno yenye kukashifu,kudhihaki, na kutukana mamlaka.
Kama ulivo sema wewe hutukani,hudhihaki wala kutoa maneno yenye kutishia us alama na ustawi wa nchi. Lakini tambua kuna watu wengine wengi tu hutumia mitandao kuzusha, kudhihaki, kutukana mamlaka nk.
Maoni yanayotolewa kwa staha husikilizwa na kufanyiwa kazi hata kama sio kwa haraka lakini hushughulikiwa.
Kuhusu vitisho...
Unadhani nchi ambazo viongozi wake walipinduliwa au waliondolewa kabla ya mihula yao kuisha nchi hiyo zimetulia. ..?hebu nenda fanya Google search za nchi hizo uangalie hali zao zipoje kwa maana ya kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiusalama.
Nikwambie kitu magufuli akitolewa kwa njia hizo wakaingia hao mnao waona bora sasa kabla ya muda wao nao watatolewa na makundi mengine ambayo yatapata uhalali wa kutumia njia hiyo hiyo iliyotumika kwa magufuli hivo ***** ***** za ajabu na visa havitaisha humu nchini.
So lets think twice sio kuwaza pesa tu mifukoni ukiwanazo kama huna amani utashindwa kutimia hizo pesa.
Tuko na magufuli hadi wote tunyooke. Hutaki hama nchi,na ikiwezekana jamaa awe anacharaza hadi bakora maana UNAFKI umezidi kiwango cha SGRSiyo mabaya sema unaogopa.
Asante Richard.Mkuu,
Wewe, Tindo na yule mwenye avatar ya yule msichana wa Pakistani nyote mna mawazo mazuri sana na nnawapenda kwa kuwa na mawazo ya kuchagiza.
Mnachokosea niu namna ya kuyawasilisha mawazo yenu na sijawahi kuona mnatoa matusi wala lugha ya kashfa.
Si ninyi ambao mnafanya hivyo bali wenzenu wenye mawazo kama yenu.
Ondoeni "contents" zenye kuchochea, kukashifu, kutukana, kutisha na kukejeli serikali iliyopo madarakani.
Kwa mfano umeweka kichwa cha mada yako kikielezea viongozi wa Afrika ambao hawakudumu madarakani na ukasema " Will Magufuli take a course?
Unamaanisha kwamba je Raisi Magufuli nae atafuata mkondo?
Sasa kwa tafsiri ya hicho kichwa cha habari na yaliyomo humo ni mapinduzi, kuondolewa kwa nguvu viongozi na hata kuuawa kwa mmoja wa viongozi hao.
Na unamwambia raisi Magufuli kwamba na yeye atafuata mkondo, wamtisha raisi wako? waitishia mamlaka? je watishia taasisi ya uraisi?
Hivyo ndivyo baadhi ya wageni na wanachama wengine watakuwa wanaweza.
Usidhani ni sisi tu wanachama wa JF twasoma hapa wapo watu wengi wa rika tofauti, kazi tofauti na malengo tofauti.
Tumia njia sahihi ya kuwasilisha maoni yako bila kumkwaza mtu, kumuudhi na hata kufanya akuchukie, hatua ambazo zitajenga uadui uso lazima.
Otherwise, I like you guys and your way of thinking!
Nilifikiri utasema hadi ninyooke kumbe hadi wote tunyoke you are right basi msalimie Kinana, Makamba na Nape.Tuko na magufuli hadi wote tunyooke. Hutaki hama nchi,na ikiwezekana jamaa awe anacharaza hadi bakora maana UNAFKI umezidi kiwango cha SGR
Ongeza zito,Mbowe, lowasaNilifikiri utasema hadi ninyooke kumbe hadi wote tunyoke you are right basi msalimie Kinana, Makamba na Nape.
Waliponzwa na kuingiza harakati za kidini (uamsho) kwny siasa, ikaonekana wanaeza karibisha makundi hatari kama al-qaida, nkHakuna nchi ya nje itakayofanya chochote! Wako kimaslahi na hawawezi kuvuruga maslahi yao kwa vitu kama hivi. Zanzibar matokeo yalibadilishwa mchana kweupe na hakuna kilichotokea! Watanzania hatuna tabia ya kusoma vitabu. Ungekuwa msomaji ungefunguka macho jinsi nchi za magharibi zinavyofanya kazi.
Pamoja na hayo haizuii watu kutoa maoni yao juu ya utawala wake.
Tuko na magufuli hadi wote tunyooke. Hutaki hama nchi,na ikiwezekana jamaa awe anacharaza hadi bakora maana UNAFKI umezidi kiwango cha SGR
Nina miez 6 siko Tanzania, kwa akili yako unafikir kila anayeunga jitihada za jpm analipwa na yuko lumumba.Naona asaiv sio one sided tena, ni two sided.. wasalimie Lumumba
Kwani umeenda na familia yako yote au umeiacha Tanzania.Nina miez 6 siko Tanzania, kwa akili yako unafikir kila anayeunga jitihada za jpm analipwa na yuko lumumba.
Acha Kupiga Watu Biti MALAY** ww Amber Rutty Na Kwa Taarifa yako TL MARANDU yupo Hapa STATES na Anaendelea Kudondosha videos Youtube Kama Kawa ***** ww wa Arumeru.Mkuu wewe endeleza UPUMBAVU wako huu na hii ni wiki ya pili mfululizo.Kitakachokukuta sijui Kama utakuwa na muda wa kurudi kutueleza, Kama upo JF kitambo yupo wapi jamaa alikuwa anaishi ughaibuni anaitwa TL MARANDU?, yupo wapi BAK?,yupo wapi MOKHILI FUMULAUHI?, wapo wengi tu waliojiona wanaweza kuongea pumba zozote sababu wapo Jamii forums Kila kitu kina mipaka yake, ukae ukijua hizi chokochoko wewe pamoja na waliokutuma(wanaokulipa hazitakuacha salama.
Nina miez 6 siko Tanzania, kwa akili yako unafikir kila anayeunga jitihada za jpm analipwa na yuko lumumba.
Basi ni vizurKwani mkuu nje ya Tanzania pesa hazifiki.!?
Walioandika Katiba rais kuwa na kipindi kimoja cha miaka mitano hawakuwa wajinga.Nikweli lakini imekuwa too much to the extent sasa....
Ikisoma bandiko hilo limejaa hadithi za mapinduzi mapinduzi na kutokamilisha mihula ya uongozi.
Hadithi kama hizi zinapandikiza threats na upumbavu, why now?
KWENYE BIBILIA WAMEANDIKA ATAKAE VUMILIA HADI MWISHO NDIO ATAKAE OKOKA lakini hapa tunaona kuna mipumbavu ambayo ilizoea kuiba imeshindwa kuvumilia kusubiri matunda, maziwa na asali yameanza kuleta ***** *****.
Kwa mjibu wa katiba ibara ya 15, 17, na 18 unaruhusiwa kutoa maoni lakini kwa namna gani basi, kwa namna ambayo haivunji utu wa mwingine wala kumdharisha na kukashifu.
Na ukumbuke unavyo mkashifu raisi unakuwa umemkashifu kiongozi wa taasisi ya urais jopo lake halitakubali kuendelea kukashifiwa kwa namna yoyote ile na wao watajibu kwa njia yeyote ile kutetea taasisi yao.
Ni yeye, periodUmeona sasa kauli zako(zenu) ni nani atakaewasikiliza hata kama ni mwendawazimu......
Una uhakika yeye ndio anateka au anaagiza kuteka.
Je ni wapi hafati sheria?
Richard mbona ume delete comment yako nilitaka nikuletee link kabisa
Joint Statement of Concern over the Erosion of Due Process in Tanzania
The text of the following statement was released by the Embassy of the United States and the British High Commission. Begin text: The U.S. Embassy and thetz.usembassy.gov