pundadumeafrika
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 1,618
- 2,076
Hivi wewe unaamini huko Monduli, Kinondoni, Korogwe n.k. kulikuwa na uchaguzi ......!!??Waliosema CDM ni nyumbxxx hawakukosea, yaani uchaguzi wa Ubunge makao makuu ya Ufipa mmeshindwa, Monduli kwa Rais wa mioyo yenu mmeshindwa halafu hapo hapo unaota kumshinda Magu Tz nzima.
KATAA KUWA NYUMBXXX.
Mkuu wewe endeleza UPUMBAVU wako huu na hii ni wiki ya pili mfululizo.Kitakachokukuta sijui Kama utakuwa na muda wa kurudi kutueleza, Kama upo JF kitambo yupo wapi jamaa alikuwa anaishi ughaibuni anaitwa TL MARANDU?, yupo wapi BAK?,yupo wapi MOKHILI FUMULAUHI?, wapo wengi tu waliojiona wanaweza kuongea pumba zozote sababu wapo Jamii forums Kila kitu kina mipaka yake, ukae ukijua hizi chokochoko wewe pamoja na waliokutuma(wanaokulipa hazitakuacha salama.Mkuu unataka methodology gani sisi backbencher tutumie, mimi siyo mbunge kuwa nitaenda bungeni kushauri, siyo waziri nitaingia kwenye baraza la mawaziri kumshauri wala siyo mwanasiasa nitapata platform niseme, methodology yangu ya kushauri ni through mitandao ya kijamii bila matusi wala vitisho.
Hivi kusema kuna one term presidents ni kumtisha rais, basi rais wa kutishwa hivyo hafai kuwa rais, afterall Ikitokea haitakuwa ajabu na hatakuwa wa kwanza kuwa one term president Tanzania, Abdul Jumbe alikuwa one term president.
Magufuli siyo malaika.....huwa anakosea, I take your word.Haya yote yallikuwa yanatokea wakati wa nyuma au awamu zingine ila sasa yanaonekana makubwa kwa sababu ya utandawazi na kukuwa kwa technology...
Magufuli sio malaika yule ni binadamu mengine anakosea na kwa nafasi yake pengine wapo washauri wake wanampa mawaidha mabaya as a leader wa taasisi inabidi atekelleze tu kwa sababu system inamtaka hivo hata awe nani itakuwa hivo hivo tu.
Kwahiyo ndio umetumwa kunitisha, mtu anaishi mara moja na kufa mara moja hata wewe utakuja kupotea JF no one is safe mkuu. Afterall nikifa wewe utapata faida gani.Mkuu wewe endeleza UPUMBAVU wako huu na hii ni wiki ya pili mfululizo.Kitakachokukuta sijui Kama utakuwa na muda wa kurudi kutueleza, Kama upo JF kitambo yupo wapi jamaa alikuwa anaishi ughaibuni anaitwa TL MARANDU?, yupo wapi BAK?,yupo wapi MOKHILI FUMULAUHI?, wapo wengi tu waliojiona wanaweza kuongea pumba zozote sababu wapo Jamii forums Kila kitu kina mipaka yake, ukae ukijua hizi chokochoko wewe pamoja na waliokutuma(wanaokulipa hazitakuacha salama.
Unakumbuka unyama wa dk Ulimboka, mwangosi, kipigo cha machinga mbeya nk,migomo ya wamiliki wa mabasi na watumishi? ?Magufuli siyo malaika.....huwa anakosea, I take your word.
Hivi wakati wa Kikwete mitandao haikuwepo... sometimes kukubali kosa siyo udhaifu ni kujifunza, Kikwete alikuwa na udhaifu wake lkn alikuwa anaheshimu utu wa mtu na uhai wa binadamu.
Hakuna anayeombea mabaya ila ni vizuri kukumbushana kuwa tusipokuwa waangalifu yanaweza kutokea.Quinine-Andiko lako lina somo zuri tu lakini sisi nchi yetu ni ya kistaarabu sana, tumuombee Rais wetu mpendwa Dr.Magufuli awe na afya njema atuongoze hadi 2025.Hayo unayosema ya mapinduzi si ya kuomba yatokee nchini mwetu.MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.
Ccm huwa haishindi ndugu! Nyie mnatangazwa tu, wakurugenzi na tume ya uchaguzi walishapewa maelekezo!Waliosema CDM ni nyumbxxx hawakukosea, yaani uchaguzi wa Ubunge makao makuu ya Ufipa mmeshindwa, Monduli kwa Rais wa mioyo yenu mmeshindwa halafu hapo hapo unaota kumshinda Magu Tz nzima.
KATAA KUWA NYUMBXXX.
Umeona sasa kauli zako(zenu) ni nani atakaewasikiliza hata kama ni mwendawazimu......
Una uhakika yeye ndio anateka au anaagiza kuteka.
Je ni wapi hafati sheria?
Imeshuka kuzimu au wapi???Hili nalo ni swali? Mbona jf imeshuka hivi??
Ukimaliza kuota njoo tena!Mkuu unataka methodology gani sisi backbencher tutumie, mimi siyo mbunge kuwa nitaenda bungeni kushauri, siyo waziri nitaingia kwenye baraza la mawaziri kumshauri wala siyo mwanasiasa nitapata platform niseme, methodology yangu ya kushauri ni through mitandao ya kijamii bila matusi wala vitisho.
Hivi kusema kuna one term presidents ni kumtisha rais, basi rais wa kutishwa hivyo hafai kuwa rais, afterall Ikitokea haitakuwa ajabu na hatakuwa wa kwanza kuwa one term president Tanzania, Abdul Jumbe alikuwa one term president.
Wangapi au ni wewe tu na unyumbu wako!Sawa... hivi umejiuliza ni kwanini leo watu wameanza kuwa na mawazo ya 'one term president' kwanini haikutokea kwa Mkapa wala kipindi cha Kikwete?
Ndio majuto ni mjukuu lkn watu wakiamua huwa hawaangalii matokeo ndiyo maisha yalivyo.
Tunapotoa mifano hiyo ya marais waliopinduliwa au kuondolewa na bunge siyo vitisho ni mafunzo kwa watawala na wananchi kwamba watendeane haki yasije kuwakuta kama hayo.
I think you are drunkNitaamini CCM ina wenyewe siku wenye chama wakimtoa Magufuli hapo alipo.
Zaidi ya hapo chama kitakuwa kimeshatekwa na wanyang'anyi toka Chato.
Bora raisi mla rushwa kuliko raisi MuuajiWatanzania ni wanafiki na malimbukeni wanaopenda mteremko kwenye kupata mafanikio....
Mlilia lia kikwete fisadi, huduma mbovu, wenye nacho wanasikilizwa kuliko wasionacho mkawa mnaomba usiku kucha atoke rais wa tofauti mkalli asiwe legellege like kikwete amepatikana mnaanza kulalamika ooh mara ivi mara kilikwenda kimerudi pumbavu kabisa.
Magufuli kanyaga mafuta twende wasikutishe.
Prophet of doom.Mwisho wa dhihaka Kwa demokarsia na Uhuru wa kujieleza huwa ni mbaya Sana...
He is the master of his own downfall
Prophets of doom utawajua tu kama huyo mleta mada.Quinine-Andiko lako lina somo zuri tu lakini sisi nchi yetu ni ya kistaarabu sana, tumuombee Rais wetu mpendwa Dr.Magufuli awe na afya njema atuongoze hadi 2025.Hayo unayosema ya mapinduzi si ya kuomba yatokee nchini mwetu.MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.
Acha uongo wakati wa mkapa mtu anaitwa Mnasa.Wakati wa kikwete Shibuda tena jamaa alienda mbali na kusema " Mtani wangu mkwere chama kinamfia mikononi mwaka. So hamna jipya JPM to 2035Sawa... hivi umejiuliza ni kwanini leo watu wameanza kuwa na mawazo ya 'one term president' kwanini haikutokea kwa Mkapa wala kipindi cha Kikwete?
Ndio majuto ni mjukuu lkn watu wakiamua huwa hawaangalii matokeo ndiyo maisha yalivyo.
Tunapotoa mifano hiyo ya marais waliopinduliwa au kuondolewa na bunge siyo vitisho ni mafunzo kwa watawala na wananchi kwamba watendeane haki yasije kuwakuta kama hayo.