African Leaders to Send Troops to Congo in 3 Months, Vision Says | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

African Leaders to Send Troops to Congo in 3 Months, Vision Says

Discussion in 'International Forum' started by R.B, Sep 5, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,167
  Likes Received: 1,102
  Trophy Points: 280
  [h=3]The Southern African Development Community (SADC) is ready to deploy a neutral military force to restore stability in the Eastern Democratic Republic of Congo (DRC) if asked to do so by the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR).[/h] [​IMG]Tanzania’s President, Dr Jakaya Mrisho Kikwete

  Speaking at the end of SADC’s Troika Summit held in Dar es Salaam on Tuesday, President Jakaya Kikwete said the regional grouping was ready to support ICGLR to bring a lasting solution to the challenges afflicting the eastern part of the mineral-rich country.
   
 2. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Without taming an arrogant Rwanda regime first - Restoration of stability in the Eastern Democratic Republic of Congo (DRC) will remain a pipe DREAM.
   
 3. J

  JokaKuu Platinum Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,769
  Likes Received: 4,983
  Trophy Points: 280
  ..viongozi wa siku hizo wa SADC hawana msimamo.

  ..DRC inahitaji jeshi la kulinda amani sasa hivi.

  ..hakuna haja ya kusubiri "maombi" ya ICGLR.
   
 4. Nairoberry

  Nairoberry JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 570
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ila tu wasikutane na majeshi already multi-hardened and well equipped from the somali war,it will be a massacre for the SADC
   
 5. J

  JokaKuu Platinum Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,769
  Likes Received: 4,983
  Trophy Points: 280
  Nairoberry,

  ..It is going to be a peace keeping, not combat mission.

  ..SADC is also waiting for a formal request of ICGLR.
   
 6. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,078
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Ha ha huwezi cheza na SADC wewe kuna nchi nne ambazo zimekuwa zikipigana vita vya msituni kwa muda mrefu, eti leo mnajisifu kwa kupigana na mgambo wa al shabaab?
   
 7. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,528
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Kampala, Uganda
  9th Sept 2012

  Tanzania has pledged to contribute troops to be part of the proposed regional force to fight rebel groups in eastern DR Congo, including M23. Sources, who attended the two-day closed door meeting attended by Great Lakes Countries presidents, chaired by President Museveni, indicated that Uganda said it could not send troops to DR Congo since it is already heavily involved in Somalia.


  The size of the forces that Tanzania will commit to help fight the rebels in the vast mineral-rich country will be discussed next month. Tanzanian president Jakaya Kikwette, DR Congo’s Joseph Kabila, Kenya’s Vice President Kalonzo Musokya and Rwanda’s officials were in the meeting.


  Earlier on Wednesday, Uganda denied reports that Congolese government officials at the Great Lakes conference in Kampala had opposed Uganda, Rwanda and Burundi to be part of the proposed regional force to fight rebel groups that have attacked the eastern DR Congo.


  Sources close to the meeting said DRC is strongly opposed to the involvement of the three countries, saying the trio cannot be impartial if their troops are deployed in the restive region of DRC because of the troubled past relations between Uganda, Rwanda and DRC.

  Read more source: Tanzania to commit troops to DRC*- National*|monitor.co.ug

  Swali kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi, Usalama na Mahusiano ya Nje , Mh. Edward Lowasa na wajumbe wa kamati
  1. Je, kamati ya Bunge ya Ulinzi, Usalama na Nje (UUN) imeshakaa na kuliafiki jambo hili na kupeleka taarifa Bungeni?
  2. Nani atagharamia shughuli hii huko DR Congo?
  3. Wananchi tupewe mrejesho (feedback) ya shughuli hii nzito ya kikanda ya nchi za Maziwa Makuu
   
 8. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  kweli ni bora kupeleka majeshi na watu wetu wakafe kuliko kumkomalia kagame a0ondoe majeshi yake kule?
   
 9. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2012
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Taratibu naona vita ingine ya Kagera inanukia hapa..! M23 wanajulikana ni askari wa Kagame....sasa itokee heavy fighting btn TZ na M23 inside DRC kama ile ya Uganda vs Rwanda kule Kisangani, then sioni ni vipi askari wetu hawatavuka mpaka kuingia Rwanda from Kagera. Inanikumbusha yale makombora yaliyosambaratisha kambi Burundi from Kigoma
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Wanajeshi wenyewe kuogelea hawajui leo unawapeleka kupambana na maimai raia mutomboki na M23 kweli wataweza?
   
 11. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  pelekeni polisi na migambo
   
 12. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ngoja waende wakastablize eastern drc
   
 13. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  kwani na drc ipo africa mshariki? kwanini asisaidiwe na member wa community yake? Kikwete asitake kumpa legitimancy kabila ya kutawala wakati wacongo hawamtaki. Hizi ni njama tu.
   
 14. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  itakuwa ni kichekesho kwa Tanzania kufanya hiyo misheni, hapo ni kutafuta kuua Askari wetu Bure tu, Huwezi kuitumia Uganda na Rwanda kutoa waasi DRC, kwani hizo nchi ndizo zinazoleta hao waasi kwa faida ya nchi zao................................. Misheni sahihi ya kuisaidia Congo ingepaswa kuwa chini ya SADC, yaani SADC ndio wangetoa Jeshi hapa namaanisha nchi kama ANgola, Zimbabwe, RSA, Bot, Zamb na Tanzania wangetengeneza jeshi moja na kwenda kumaliza kabisa fujo zile za DRC lakini kwa kuwashirikisha UGanda na Rwanda basi tutarajie yale yaliyokuwa yanatokea Mozambique kwa Askari wetu kuhujumiwa na vibaraka wa Wareno
   
 15. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,137
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  unakumbuka zile vurumai za 1998-2003 DRC?waasi walikuwa wakipata sapoti ya serikali za Rwanda na Uganda mpaka SADC ilipoamua kuingilia na kuinusuru serikali ya Congo,wakati huo Mugabe akitoa sapoti kubwa mno.hakuna haja ya kupeleka majeshi kule wakati watu wanajua waasi wa Congo wanakua supported by two gvt ie Uganda and Rwanda,kwa mantiki hiyo ili kukomesha vifo mashariki ya Congo ni kuzibana serikali hizi mbili tu,hili linafahamika vyema ila sijui kwa nini wanahofia kuziwekea vikwazo vikali vya kiuchumi na mambo mengine ili kunusuru maisha ya watu yanayopotea bure.
   
 16. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Kaka Kibol, sijuhi serikali ya Tanzania hailioni hilo?................................ Waganda na WaRwanda wanapigana vita vya kimaslahi na hata Askari wao wanaokufa DRC wanakufa kwa sababu ya kujenga nchi zao, Watanzania tutaenda kufa kwa ajili ya kutafuta sifa za kimataifa, ......................... Rwanda haiwezi kukubali kuiachia East Congo... hapo ndipo uchumi wao ulipolalia, njia pekee ni kupeleka Jeshi ambalo halitahusisha Rwanda Kabisa
   
 17. k

  kabombe JF-Expert Member

  #17
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 15,617
  Likes Received: 8,574
  Trophy Points: 280
  SADC wameshakubali last week ambapo pia kikwete alikutana na Joyce Banda.Ujanja tu wa kidiplomasia umelazimisha kuitisha kikao cha kampala ili Tanzania ikianza kuchapa waganda na wanyarwanda tusilaumiwe.Nakwambia tutawatimua wahuni wote
   
 18. k

  kabombe JF-Expert Member

  #18
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 15,617
  Likes Received: 8,574
  Trophy Points: 280
  Mchawi mpe mwanao akulelee.Hapo ndipo itajulikana kama kweli kagame na museveni ni mabeberu,tusubiri
   
 19. k

  kabombe JF-Expert Member

  #19
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 15,617
  Likes Received: 8,574
  Trophy Points: 280
  Na unafahamu kwamba Mugabe aliahidiwa almasi ambayo ndio inaendesha Zimbabwe hadi leo?.Dawa ya Rwanda na Uganda ni Tanzania tu,kigali ni karibu kutokea bukavu na bunia watakimbia hata kabla hatujaingia mzigoni.Tukimaliza tunapeleka bili kama wamarekani walivyofanya kwa Libya
   
 20. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #20
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kabombe............Kuna mchangiaji mmoja hapo juu aliendika kuwa , ............... unapoingia kupigana na waasi wa Congo basi ujue umetangaza vita na Rwanda na Uganda, Kwa hiyo wakati tyupo congo bac tuwe tayari kupokea mashambulizi kutokea Uganda na Rwanda, na hiyo Vita itakuwa ngumu sana kwa Tanzania, kwani Rwanda na Uganda wao wako bize na kujiandaa na vita kila siku,
   
Loading...