African ladies hair

sio African ladies pekee, kuna wazungu wengi tu wanao perm nywele zao kuzifanya ziwe curly, is the matter of varieties in hair styles
 
Mmh, lakini sijui kama wote tunajua athari za hizi nywele au huu urembo wa bandia wa kutumia madawa kama yale ya kubadilisha maumbile asilia. ingekuwa vyema tujulishwe athari pengine mtu anaweza kufanya uamzi maana siku hizi humjui yupi mwaume, yupi mwanamke kwa ajili ya huo urembo bandia. yaani ngoma droo.

mmh hatari!

Ckabula, athari mojawapo ya haya manywele ni kutozaa watoto,hii inasababishwa na MERCURY inayotumika kutengenezea na kuzitunza.utafiti unaonyesha kuwa Dar es salaam kwa sasa wanawake wengi wana matatizo ya uzazi kwa ajili hiyo.
Na isitoshe hizi humanhair ni za maiti na wale wanaoenda kufanya sadaka huko India kwa mungu vishnu.
 
Mara nyingi ni INFERIORITY complex ndio inawasumbua wadada,hata kama mtu ni mzuri kiasi gani lakini bado anakuwa hajiamini alivyo mpaka ajifiche uhalisia wake kwa vitu vingine.

Tatizo siyo 'inferiority complex' kwa dada zetu. Binadamu yeyote hafanyi jambo bila sababu. Kwa dada zetu ninaamini huweka nywele za bandia kwa sababu husifiwa wamependeza-hapa sina uhakika kama na shoga zake au wanaume. Na akisifiwa ni lazima ataongeza manjonjo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom