CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
Badala ya hawa dictators kukutana kujadili wimbi la vijana wao kutoka Africas kwenda Ulaya na kufia majini- Lampedusa etc.... Wanakutana at the expense of tax payers money kujadili how to consolidate their power by suppressing people not to air their views, killing democracy, oppression and the like! Wanataka wanapokuwa wanagombea madaraka waue, bila kuhpjiwa kama walivyofanya Kenyata na Rutto! Shame up on you!
AU is nothing but a club of dictators....well said and well proven!
Hii Caucas ya madikteta inabidi ikirudi kutoka huko ikumbane na maandamano yasiyo na kikomo
"You are not supposed to be so blind with patriotism that you can't face reality. Wrong is wrong, no matter who says" -Malcom Xben unakosea sana..tafakari upya kauli yako! mahakama ya icc haitendi haki kwa afrika.ifike mahala tutangulize uafrika wetu.ina maana madikteta wapo africa tu?
ben unakosea sana..tafakari upya kauli yako! mahakama ya icc haitendi haki kwa afrika.ifike mahala tutangulize uafrika wetu.ina maana madikteta wapo africa tu?
Mnatumiwa na mabeberu kuja hapa JF,mnafurahia Viongozi wenu kudhalilishwa na mfumo wa kikoloni? Blair na Bush wali ua maelufu ya watu hawakwenda hata ICC! Marekani haija saini hata mkataba wa Rome! Enyi waafrika wajinga mna ona kama jambo la kawaida viongozi wenu kudhalilishwa??? Mmelogwa na nani enyi kizazi masikini wa fikra na kutambua utu na thamani yenu????
CC CHUAKACHARA