Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
...inawezekana tamaduni za wa nyarwanda ni tofauti kabisa na za watanzania, mbona mzee JK huchorwa katuni watu humuita majina ya aina tofauti tofauti wala hajawahi kulalamika. kwa hili bongo ki demokrasia tupo juu!!
Last edited by a moderator: