brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,393
Yaani mtu mzima na akili zako tena wengine mna familia eti unasema na kulalamika diamond anatulisha ndimu?ndo maana unamchukia teh teh teh, ni mjinga pekee anaweza kukuelewa na hii sababu, kijana diamond piga kaza kwa bidii na utakula kutokana na urefu wa kamba yako, hizi kelele wala hazina ndo zinamuhamasisha ajitume zaidi