ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,139
- 17,612
yeye si anajiita wa kimataifa sasa awaambie wkenya na waganda kua sasahivi anawania tuzo za barabarani wampigie kura sisi tutapiga za vichochoroni na tumeridhika sana sana tu na tutawapigia wasanii wetu wa vichochoroni na hii kampeni itaendelea
Nitaelewa kama wewe ni wa kike. Ila kama wewe ni wa kiume, lipo tatizo.