ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,850
Huyu dogo balaa! wakitaka kumshusha hatua moja anapanda kumi fasta duh! ana platforms nyingi sana ama hakika Mungu akikupa amekupa.
View attachment 260681
jamani hii haihitaji kupigiwa kura..ndio tayari ashachaguliwa out of 1501 nominees..
Hii ni Tuzo ya Heshima so haina kupiga kura amesha chaguliwa tayari TENA kati ya watu 1502 Yeye ndo Bora zaidi.Kwa wale walio Pasuka nyongo Matumboni mwao kwa kuona ameteuliwa Hospital ziko wazi na kwa wale walio jisikia vibaya ama kichefuchefu Tapikeni tu mana malimao yame wazoea.
Dangote nouma sana huyu tena wanaomponda ndo wanazidi kumpa juhudi za kupanda zaidi, Tanzania tunaheshimika kimziki kwa juhudi za dogo.
mlishindwa nini kumnyanyua BEST NASSO naye afike level hizo?Wait and watch atakapoanguka ndio mtajua kuwa public ndio tulimuweka halipo na hana kipaji kama ana kipaji akawashawishi wakenya waganda na wasouth wampigie kura tunambeba anatutukana.
Ngoja sasa picha linaanza.
Tuletee ushahidi hapa , unadhani tuko kwenye kijiwe cha kupiga umbea hapa?
Hizo ni akili za kimaskini tu kujifeel inferior, kwani kuna mtu alikutuma ukakae uchochoroni?
Kweli kabisa na humu timu kiba hawadhubutu kuja hawana hoja barua inajionyesha wazi.
Tumuombee kijana huyu afya bora na maisha marefu.
Anatuletea heshima kubwa sana kama taifa.
sikia kaka mimi nilisoma kwenye inst yake na tangu alipopost akisema msinichague tuzo za watu kwa sababu ni tuzo za vichochoroni nikaangalia nikasema sawa zitakapo kuja za barabarani utatuambia akaniblock sasa ili ajue umma wa watanzania ndio umemuweka alipo akipigwa sasahivi atashika adabu tena sana tu.................!
Mkuu usiseme tu binadamu sema wabongo sababu sidhani kama binadamu wenzetu wa nchi zingine wako hivi.
Humu hawaji, wako kwenye hizo posts nyingine wanacomment na kujijibu wenyewe. They have made themselves so happy believing that they truly punished Diamond. I wonder the what type of IQ all those people supporting anti-diamond agenda. Hawana cha msingi cha kujustify themselves other than eti "ametudharau" au "ametulambisha ndimu" really?
Yaani I cant believe there are people who actually get emotionally involved when Diamond posts about his achievements and his new love. Small minded indeed and they def need to have a life outside instagram.
They would not comment on this post because this post speaks for itself.