Harufu ya k inaishia umo lazma uwe mtamuUgali wa hapo lazima use mtamu sana
Umenikumbusha mama chanja wanguWeekend lazima tuingize fikra za amsha amsha
Ugali wa hapo lazima use mtamu sana
Aisee unaonekana mtalaam sana wa kusonga ugaliKiboko ya mwanaume, japo kuna wanaume wanasema wao ni gangwe au wagumu hawatekwi kirahisi na kilichopo katikati ya mapaja eehehehehehheee
Achi niendelee kusonga ugali, kuna dona, bada, sembe, mashed potato, ugali wa ndizi yote nasonga mnyamwezi mie.
Raha sana kuzaliwa mwanamke hasa tabasamu likiwa halikauki usoni pako.
Aisee unaonekana mtalaam sana wa kusonga ugali