Africa yaendelea kuikataa Kenya, Ghana yachaguliwa kuwa makao makuu

Fara ndio nini? Kumbe ni kweli kwamba wewe ni boflo? Tena boflo mshamba? Unatakaje sasa, utaendelea na umbea wa kike au utajadili hoja? Maanake hakuna options nyingine, usinifate PM, mimi napenda papuchi na namuogopa Mungu.
I insist, acha mirungi.
 
I insist, acha mirungi.
You can't troll pingli-nywee, for the one simple reason that he doesn't give a f¥€k! Meanwhile, rais Uhuru Kenyatta atakuwa kwenye kumbukumbu za historia kama rais wa kwanza Afrika kujiunga rasmi na wa kwanza pia kuwasilisha 'instruments' za 'ratification' ya mkataba wa AfCFTA. Baada ya mswada wake wa kuhalalisha mkataba huo kukubaliwa na bunge la Kenya mwezi wa Agosti 2018. Miezi miwili tu baada ya Kenya na nchi zingine 50 za Africa kutia saini mkataba wa AfCFTA kule Kigali, Rwanda. >>>https://www.kenyans.co.ke/news/29176-uhuru-kenyatta-becomes-first-african-president-deliver-deal
 
Sasa hiyo ina faida gani wakati lengo lake lilikua ni kushawishi Kenya ianze kukubalika hapa Africa baada ya kutenda dhambi ya usaliti wa nchi za Africa, alidhani Africa imesahau kwa kujipitisha mbelembele katika mambo yenye maslai, lakini katika mambo ya kupigania Africa Kenya inasaliti waafrica na kushirikiana na wazungu.

Kamwe Africa haitosahau usaliti wa Kenya, na haitotokea siku Kenya ikachaguliwa na nchi za Africa kuongoza jambo lolote lile pamoja na kujipendekeza kwa viongozi wake.
 
Najua inauma ila hamna namna. Kwamba mwishowe kwenye dakika za lala salama hamkuwa na budi ila kujiunga na AfCFTA. Mkataba ambao rais Uhuru Kenyatta alifanikisha kwa kuwa kwenye mstari wa mbele wa kuwashawishi marais wenzake wajiunge. Alizunguka Afrika nzima ila hakujisumbua kujaribu kuishawishi Tanzania. Inaitwa checkmate kwenye mchezo wa chess.
 
Hahahaha, akili za wavuta bhangi hizo. Kwahiyo aliweza kuwashawishi marais wa Africa kuweka saini, lakini akiwashawishi kuichagua Kenya wanamkatalia?, mlipopiteza pesa nyingi na kuzunguka Africa nzima kushawishi Amina Mohammed achaguliwe mkashindwa?. Hakuna nchi itasikiliza Kenya, kumbuka hata Uganda ilikataa kumpigia kura Amina Mohammed, ninyi hamna ushawishi wowote hapa Africa.
 
Ukisikia kuwashwa ndo
Kama hii kitu hatupo kwenye hiyo kitu lakini sisi ni kwa wimbo ya Dimond the one
 
Ukombozi gani?...most African countries had gainined independence by the end of 1960s apart from a few southern African states.
 
Not unless you want to talk about Mozambique ,Nambia and South Africa
 
Bado una matumaini ya Tanzania kuwa makau makuu? Mlijiunga na mkataba huu juzi juzi tu wakati bid za kuwa makao makuu tayari zilikuwa zimeshawasilishwa. Hilo eneo ambalo unasema mmelitenga kule Arusha limeni korosho au pamba.

Aha ha ha
Mbona hasira hivyooo. kwa taarifa yako, tukienda kwa ndugu zetu wa Ghana na kuongea nao kuwa tunataka makao makuu ya huu umoja yapelekwe kule ambako Mandera ana chuo chake. Kule kwenye nchi ya Julius rafiki yake Kwame the true son of Afrika. Tunavyopendana na kuaminiana na Waghana, wee utaona tu.
 
kenya ni wanafiki na wasaliti kwa waafrika wenzao
 
Tutaelewana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…