Wao kwao kila kinachotembea ni halali, kwa pombe wanatuheshimu wao hwajiwezi si kivileKuna kaukweli kwenye Hili, sijapata ona waafrika walevi kama Kenyans na Zambians, wakati West Africans wanapiga jollof siku nzima. Halafu hawa jamaa wanakula nyoka, nyani, chura nk hasa Liberian.
Good point mkuu, ingawa Nigeria ilitawaliwa na Uingereza lakini bado Uislam uko imara na kuna mvutano mkubwa kati ya dini hizi mbili, Mali, Gambia na Senegal pombe haiuziki kabisa.Inawezekana inachangiwa kutoka enzi za ukoloni na udini pia.
West Africa walitawaliwa na idadi ndogo ya wakoloni. (nikimaanisha mataifa machache)
Ukija east Africa na South utaona kulikuwa na Mataifa mengi yakikoloni. ..na wengi wao ni wapenzi wa kunywa pombe. ....mfano wajerumani na waingereza.
Kwa upande wa kidini. ...west Africa wako na watu wengi wenye Imani ya Kiislam inayokataza Pombe tofauti na East Africa-ukristo unasema kunywa Kwa kiasi.
Exposure pia inasaidia....west Africans wamepata exposure mapema sana kulingana na East Africans.
Ni mtazamo wangu.....
Sasa hapo ndio tunaona nani alikuwa na maarifa yakuendeleza tamaduni zao Au zile za mkoloni. .....West walisimama Imara kushikilia Tamaduni zao ikiwepo mavazi, chakula, lugha na dini pia....Good point mkuu, ingawa Nigeria ilitawaliwa na Uingereza lakini bado Uislam uko imara na kuna mvutano mkubwa kati ya dini hizi mbili, Mali, Gambia na Senegal pombe haiuziki kabisa.
Cameron walitawaliwa na wa
-Jerumani pia kama sisi na Namibia
Yaa ugali is our universal meal, Botswana wanaita papa, Zimbabwe sadza, pia nguo tumepoteza kabisa vazi la asiliSasa hapo ndio tunaona nani alikuwa na maarifa yakuendeleza tamaduni zao Au zile za mkoloni. .....West walisimama Imara kushikilia Tamaduni zao ikiwepo mavazi, chakula, lugha na dini pia....
wa East tukaona ni vyema kuiga kila kitu....matokea yake ndio hayo. .....
Staple food ya East/South Africa zinafanana sana.... Wakati West hawaingiliani kila mtu na msosi wake. ....
Sadza....[emoji6][emoji6][emoji6]Yaa ugali is our universal meal, Botswana wanaita papa, Zimbabwe sana, pia nguo tumepoteza kabisa vazi la asili
Unajua hawana vitambi hata akila sahani 10 mfano waghana na kenke yao. Bankuu yao sawa na ugali wa kwamtogole. Sie miili yetu inashukrani ukila kidogo likitambi hilo ndo maana starehe yetu kubwa ni kilevi na k! Utawikia mtu analamika kuwa tangu asubuhi sijalamba biaWao kwao kila kinachotembea ni halali, kwa pombe wanatuheshimu wao hwajiwezi si kivile
Ni kwasababu tunapata extra calories za pombe baada ya chakulaUnajua hawana vitambi hata akila sahani 10 mfano waghana na kenke yao. Bankuu yao sawa na ugali wa kwamtogole. Sie miili yetu inashukrani ukila kidogo likitambi hilo ndo maana starehe yetu kubwa ni kilevi na k! Utawikia mtu analamika kuwa tangu asubuhi sijalamba bia
pengine mikono ya sweta ndo inatufanya tuwe na wivu. Hivi unajua west Africa mtu anakuachia mke unagida ili mradi utoe fedha?Songhai Empire ilikuwa dola kubwa ilyotawala West Africa karibu yote na ilieneza Dino ya Kiislam, hata tohara pia West Africans ni lazima lakini Southern of Africa mikono ya sweater ndiyo mpango mzima
Nilisomea kwaoSijawahi sikia hiyo mkuu
Kwa hiyo ulikuwa unagida wake za watu?Nilisomea kwao
Hii sasa kali.pengine mikono ya sweta ndo inatufanya tuwe na wivu. Hivi unajua west Africa mtu anakuachia mke unagida ili mradi utoe fedha?
Nilishaletewa na room mate mke wake akidai ni dada yake.... huwa hawana wivu kabisa mbele ya pesa. Aidha kumtoa mke wake kafara kama kumbebesha madawa hawajambo hawa watu!Hii sasa kali.