Upangaji huo wa pili ni wa kitanzania kweli?
Kwa mnyamani.Wa kimasakimasaki, o bay na uzunguni
Hii picha nimeipenda
Upangaji huo wa pili ni wa kitanzania kweli?
mvivu wa kula utamjua tu hapo
Mbuzi Mzee, hii ungeiita "African Refugees sunday lunch.