Africa - Sunday Lunch

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
309464_272142959474324_2120018904_n.jpg
 
182565_10151264261154605_369159301_n.jpg


Typical Tanzanian style of sitting on the floor makes the food tastier!
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Asante aisee..hii picha ya kwanza ni kweli hii uswazi lakini hii ya pili ni kishua sn bro ila inavutia sn kuangalia..!!
 
Jamani eeeh nimefurahishwa na hao watoto wanavyogonga msosi, maskini weee mwanangu hata kula kabisa, hebu nisaidieni
 
Hiyo ya kwanza, hilo dida limepigwa chumvi na limau kwa mbali unaeza kunywa bakuli tatu tumbo likawa ka boya lakuogelea vile....!
 
Those kids are so lovely, wako happy wanafurahia maisha...wameweka shida chini, wamenyoosha vijiko juu wanapata ile kitu roho napenda.

Picha hii inaujumbe mmoja mkubwa sana, kwamba furaha katika maisha yetu hailetwi kwa kuwa na fedha nyingi au kuishi maisha ya kishua.

Furaha hutoka ndani ya mtu mwenyewe...niwewe mwenyewe unaeamuwa uwe na furaha au usiwe na furaha, it does not matter how much you earn or whatsoever luxury life you live!

Hemu wachek hao watoto, the photo says it all,maisha yao ni duni (poor life), hawali pudding,wala hawajui omlet ni nini, hawajawahi kusikia neno Nutela, eti pilau...ooh ni mpaka skukuu au kuwe na harusi, maulid n.k! Lakini waangalie afya zao, waangalie nyuso zao...wako healthy, na nyuso zenye furaha na matumanini tele. Ni watoto wa ngapi wakishuwa afya zao mbovu? Hawataki hata kula, hawana furaha, wanyonge, wadhaifu name it...!

Furaha iko ndani yako, usiruhusu materials na fedha vi drive furaha yako...kuanzia sasa sema, mimi nina furaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom