Africa must not fight Africa

Africa must not fight Africa

Fasouls

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2011
Posts
937
Reaction score
321
Africa must not fight Africa! Nadhan hii ndio kauli mbiu ndani ya baraza la usalama la umoja wa Africa, kutokana na yale yanayotokea africa huku baraza hilo likiwa limekaa kmya likisubiri maamuz kutoka mabalaza ya nje ambayo hayana uhusiano wa kisiasa,kiuchumi,wala kidhamira! Kiukweli ni aibu ndan ya baraza hilo! Umuhimu wa baraza hlo hauonekan kabsa cha msingi kwa sasa ni kuvunja baraza hilo,ili kila nchi ndani ya umoja wa Africa itafute military base yenyewe au mabaraza kama hayo yawe ndan hzi economic intergrations na yawe na individual power ili yakishindwa kutmiza majukumu yake basi aibu iikumbe pande moja tu ya Africa lakini isiwe Africa as whole kama tuonavyo sasa!!
 
am sorry sir nadhani umekosea njia.
 
Back
Top Bottom