Africa for stupid europe for elites

Africa for stupid europe for elites

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Posts
763
Reaction score
91
Samahani wanajamii forums kwa kutanguliza hisia zangu mbele hii nikutokana na magoli ya kipuuzi tunayofungwa wafrika kwenye world cup.

Ivory coast wanatoa pasi kwa adui na tunafungwa goli la kipuuzi.
 
Mechi iliyo pita hivyo hivyo..na kupanga timu kwa kuangalia majina badala ya uwezo..kwa uwezo wa godfrey bony ni wa kukaa nje kweli kumpanga drogba na kalou
 
Da! ila refa kawamaliza wa ivorian pamoja na ujuha wa kiafrika lakini refa nae kaonesha mapenz kwa weupe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom