Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Brasil walipigwa saba,mbona hawakufanya fujo?asiyekubali kushindwa si mshindani,kwani hawajui kuwa mechi ya leo ilikuwa timu moja lazima ishindwe?

Miafrika ni mipumbavu by Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Yaani nimeshangaa sana watu walio generalize hili tukio na uafrica wetu how dare you????
Tunashuhudia mavurugu yaki jinga jinga ya kufa mtu kibao na watu kuwabully wenzao kwa ubaguzi wa rangi huko ligi za ulaya asia latin america etc lakini hili limetokea hapa watu wanatalk shit abt Africa yet they are Africans.
Embu acheni tabia zakujidharau bana afu mkibaguliwa mnaanza kulia kulia hapa wakati nyie ndo mnawapa watu ruhusa hiyo embu tubadilike bana kwanza game lenyewe limeisha salama it didnt turn into a fiasco, haya mambo hutokea sana tuu kwenye games.
 
Acha kufagilia wazungu, nani kakwambia hawafanyi fujo? Mashabiki wa Atletico Madrid ya Spain juzi mwezi janury wameua mtu.

Upo sahihi mkuu, lakini kwa tukio hili lazima waafrika tukubali kuwa wenzetu wametutia aibu. Wala hapakuwa na sababu ya wale mashabiki kujazana uwanjani na kutia fujo ni aibu sana kwa jamii ya wapenda mpira kote duniani.
 
Acha paranoia mkuu. Sasa wametutia aibu kivipi? Zile fujo hazina uhusiano wowote na uafrika au rangi nyeusi. Kwa taarifa yako mashabiki wa Borrusia Dortmund wamefanya fujo jama uwanjani kwasababu wamepigwa bao moja. Sasa mashabiki wa Dortmund ni waafrika?
 
Hatimaye timu nzuri na zilizostahili zitakutana fainali...

Tutarajie fainali nzuri...
 
miafrika ni mimbwa, mishenzi, kuzaliwa africa ni shidaaaaa
 
Acha paranoia mkuu. Sasa wametutia aibu kivipi? Zile fujo hazina uhusiano wowote na uafrika au rangi nyeusi. Kwa taarifa yako mashabiki wa Borrusia Dortmund wamefanya fujo jama uwanjani kwasababu wamepigwa bao moja. Sasa mashabiki wa Dortmund ni waafrika?

Kwa zile fujo jinsi zilivyokuwa zinaonekana kuna uwezekano mashabiki wote equatorial guinea wangeingia uwanjani na sijui nini kingetokea hapo!! Je, na hizo za mashabiki wa borussia dotmund zilikuwa kama zile za mashabiki wa e.guinea???? Manake usifananishe fujo za kurusha vyupa uwanjani ambazo huwa zinafanywa maeneo mbalimbali kote duniani na zile za jana!! Mimi binafsi sijawahi kuona fujo kama zile zinatokea uwanjani tena kwa mashindano makubwa kama yale labda ndondo la mtaani.
 
Acha paranoia mkuu. Sasa wametutia aibu kivipi? Zile fujo hazina uhusiano wowote na uafrika au rangi nyeusi. Kwa taarifa yako mashabiki wa Borrusia Dortmund wamefanya fujo jama uwanjani kwasababu wamepigwa bao moja. Sasa mashabiki wa Dortmund ni waafrika?

Mkuu ni kweli kabisa Dortmund wamefanya fujo mpaka Hummels kaenda watuliza..na tujiulize pia kwann viwanja vya wenzetu wameweka wavu mkubwa wakuzuia mashabik, je kama wao wastaraabu sana si wangeacha tu viwanja open bila kuweka wavu wa kukinga mashabik.
ulaya fujo nyingi sana sema tu sisi tunaangalia EPL ndo maaana.
Fatilia Derby kama ya Lazio na Roma utaona ushenzi wao.
 
Bongo ffu
 
Mkuu mi nilikuwa nataka kusema hivyo hivyo, viwanja vyao vimepigwa fence huwezi kuingiza hata mkono na hapo hapo wakati wa mechi kuna stewardess kama mia mbili hivi achilia mbali na polisi na security cameras all over the stadium. We fikiria timu ya taifa ya Uingereza inavyofanya vibaya vile bila ulinzi mahooligans si wangembeba Wayne Rooney juu juu.

Fujo za jana tatizo sio uafrika, tatizo hakukuwa na ulinzi wa kutosha na ile ni hatari kwenye mkusanyiko wa maelfu ya watu.
 
Ishu ni kwamba Wenyeji walkamia kuingia Fainali lakn walsahau uwezo huo hawana na walsahau Ghana ni tim bora n ynye uzoefu wa hali ya juu sasa wao kisa wenyeji wakasahau kucheza mpira na waka panic n Mpira Vs Hasira haviendani kamwee!!palee kwenyeewe wamefika kwa kubebwabebwa!!mech t Tunisia wamebebwa wazi wazi hadi refa wa ile mechi kafungiwa na Caf!!
Kuhusu Mashabik kuleta Fujo hata ulaya ugomvi wa mashabiki upo ila inaonekana kwetu Africa ni kitu cha Kawaida n do maana mara kwa mara inatokeaa!!!!!Ulaya mf.....Mashabik Wa Borusia dotmnd,,Atltic madrid ni wakorofi sana na wanauana pia !!!iAfrica tujipange ,,viongoz tulionao sio viongoz bora!!
Ila Africa kiujumla tupo nyuma kisoka ndo maana hata michuano mikubwa tunaondolewa mapema...tunahitaji kuboresha miundombinu ya Soka letu kwa kufanya uwekezaji wa hali ya juu ...la sivyo tutakua wasndkzaji maisha]#Polisi[/URL] wa Eq Guinea ni walinda usalama wa Raia sio wapigaji ila yangekua haya Mapolisi MAJINGA ya hapa??aisee watu wangkua mahospitali!!!!
Tujifunze,,tuthubutu ,,tusonge mbele!!!Tunaweza.
 
Back
Top Bottom