Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,058
- 134,393
daah,nashindwa hata niwe wapi,madogo wote nawakubali,niwe ghana nikimcheki genivyo roho yaniuma.nipo nipo tuTeam Ghana tupo.?
daah,nashindwa hata niwe wapi,madogo wote nawakubali,niwe ghana nikimcheki genivyo roho yaniuma.nipo nipo tuTeam Ghana tupo.?
Team Ghana tupo.?
TKwahiyo we ndo unawapa ubingwa ivory coast???? Teh te teh
Chagua moja mkuu, Ghana ndio chaguo sahihi kule hakuna majina bali Mpira halisi.daah,nashindwa hata niwe wapi,madogo wote nawakubali,niwe ghana nikimcheki genivyo roho yaniuma.nipo nipo tu
Pamoja mkuu.!Tipoooooo...!!!
Refa mtoto au ana sura ya kitoto?
Mdogo sana hata mme wangu mkubwa.Miaka 36.
Pole naona umechagua presha.Team Ivory... Yaya Toure ni shiida dk ya 10, 0-0
mmeo yuko wapi sa iziMdogo sana hata mme wangu mkubwa.
Mdogo sana hata mme wangu mkubwa.
Nipo nae hapa tunacheki ball.mmeo yuko wapi sa izi