Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Lema....kapataaa

EQ 0 - 2 DRC

Huyu Lema sijui Mchaga...kafanana na Lyatonga Mrema
 
DRC tatu zote ndani, jamaa wakikosa hapa wamechukua nafasi ya tatu
 
Mongongu...kapataaaa

EQ 2 - 4 DRC

DRC wanamaliza nafasi ya tatu

EQG wanamaliza nafasi ya nne
 
Haya leo ni leo. Kura yako unaipeleka wapi. Ivory Coast vs Ghana. IC mpira wao ni wa nguvu na mipango mingi huku wakienda golini kwa mipango zaidi na taratibu wakati Ghana wao ni speed na wachezaji wengi ni flexible wenye vipaji kwa sana.
Leo kwangu kura inaenda kwa Ghana maana Ivory Coast inapokutana na wachezaji wa caliber ya wa Ghana hupata tabu sana.
Tusubiri
 
Leo nawapa Ivory coast nao waonje raha ya ubingwa toka 92.
 
Back
Top Bottom