Wewe umeona kuna polisi hapo.
ndio kuna polisi wamevaa nguo za kutuliza ghasia na ngao kabisa! Ila hakuna wanachofanya! FFU TZ HELP!
ndio kuna polisi wamevaa nguo za kutuliza ghasia na ngao kabisa! Ila hakuna wanachofanya! FFU TZ HELP!
Mbona naona ni dakika 3 tu ndo zimeongezwa wakati game ilisimama tangu dakika ya 82 kama sikosei!
Halafu game kwishney.
Mashabiki wa Guinea ikweta waliamini wataifunga Ghana?kwa mpira upi sasa
Brasil walipigwa saba,mbona hawakufanya fujo?asiyekubali kushindwa si mshindani,kwani hawajui kuwa mechi ya leo ilikuwa timu moja lazima ishindwe?
ingelikuwa bongo yangetokea maafa.
Hata mtangazaji kasema "this is the problem of Africa"
Nawapongeza police wa equator wanatumia akili nyingi sana sio hawa wakwetu nadhani wanatumia makalio.
Hawa EQG wanatakiwa wawe wavumilivu kama washabiki wa Yanga, maana 06/05/2012 walifungwa goli tano bila lakini hawakurusha chupa hata moja au hawakuwa nazo.