Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Brasil walipigwa saba,mbona hawakufanya fujo?asiyekubali kushindwa si mshindani,kwani hawajui kuwa mechi ya leo ilikuwa timu moja lazima ishindwe?
 
Na hili ni tatizo la kuingia bure uwanjan ni aibu sana hii kwa caf,Africa na E.G
 
Naona mwamuzi anakwenda kuresume mchezo!
Ila wachezaji wa EQG wamepoteza molare kabisa.
 
Sipati picha jambo kama hili lingetokea bongo na hawa polisi wetu sijui ingekuwaje!!?

Ingekuwa kwetu mkuu, kabla Fanya Fujo Uone hawajaingia tayari waliokufa kwa presha ya magoli kumi, viti vilivyovunjwa 300 vilivyong`olewa 1000 wakiingia jamaa hapo sasa hakuna cha msalie si mgeni wala mwenyeji wote ndani ya ambulance waliobaki kwenye defender
 
Hawa jamaa zaidi ya 90% ni wakatoliki sasa sijui ukorofi wametoa wapi?
 
Kisheria ni kwamba mpira ukisimama kwa dakika 15 refa ana uamuzi wa kusitisha mechi na mechi ikarudiwa au ukafanyika utaratibu mwingine ufanyike. Ila hawa mashabiki ni wajinga na wasidhani kama refa/fifa ataamua hii mechi irudiwe.

ngoja tuone mwisho itakuwaje?
 
Sasa naona mpira unataka kuanza hapa mpaka kieleweke
 
Si umeshasema kuwa rais dictator!! Anaweza ua raia wake wote tena kwa hao 600000 tu mbona dakika tu anaweza kumaliza wote?
kwani hapo si kuna ulinzi?kwa nini hawajaogopa mapolisi?hata raisi wao wanatakiwa wasimwogope as far as anaiba mali za umma
 
Refa kaitwa nje kwenda kupeana utaratibu na kamishna wa mchezo huu.
 
kufungwa kubaya sn! Guinea kwanza hata hii nusu final wameingi kwa huruma ya refa! Na wanapigwa goli la nne mbwa hawa! Kwa mwendo huu wangeingia final siwangerusha mishale kabisa.
 
Africa Africa tu ndio maana wazungu wanatudhalau kila siku
 
Mpira unaendelea kumalizia dakika zilizosalia.
 
Back
Top Bottom