Hivi FFU hawapo wawatulize
Mi naona kosa pekee la refa ni kuzima kadi nyekundu alostahili mchezaji wa ghana just baada ya 1st goal
yaani ingekuwa bongo basi saa hizi uwanja ungekuwa umejaa moshi tu vijana wa ERNEST MANGU wangekuwa wamekichafua zamani!
Kuna kila dalili ya mambo kunuka hapo.
Hebu tuone yatakayojiri ila naona wachezaji wa ghana wako katika hali ya utulivu sana ila mashabiki wa EQG wanaendelea kurusha chupa, wanang'oa viti na kurusha uwanjani kama mashabiki wa simba vile!
Mi naona kosa pekee la refa ni kuzima kadi nyekundu alostahili mchezaji wa ghana just baada ya 1st goal
Equatorial Guinea wanataka mechi ivunjike waanze upya
Hawa mashabiki wa Guinee equtorial wangekuwa wanakinukisha hivi na kwa dictator rais wao anayeinyonya nchi yenye utajiri wa mafuta,basi wangekuwa mbali kweli kiuchumi
Wala hakustahili kadi na wala si chanzo cha ghasia