Duuh!
Hi channel ya CRTV kwangu inakata kata sana sijui huko kwenu wadau?
La tatu, Ghana 3-0 E.Guinea
Mie tbc2 yatosha.
Sipati picha baba yao kina Ayew anavyotoa chozi la furaha kuwaona wanae wanavyolisakata kabumbu,Abeid pele kwa kweli bravo!
Huyu dogo wa ghana. Appiah anayevaa jezi no 2 anajua sana