Hii mechi wanaweza kuja kupigana au refa kupigwa inavyoelekea
mmmh na wewe homework siku hizi? ghana wanaongoza 2-0 halft timeHome work zimenibana,nani anaongoza wajameni?
homework za wadogo zako,zege hailali si unajua tena,ila ndo tumemaliza.walale niangalie kipindi cha pili.Ghana ni noma final hope itakuwa black star na the oranges.mmmh na wewe homework siku hizi? ghana wanaongoza 2-0 halft time
Wanatabia za Spain maana ndio watawala wao. Kubebwa kaa Barca