truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 339
Kongo wanafungwa goli la kizembe mno.
Kukosa Uzoefu kunawagharimu! Wamekosa nafasi kadhaa za kufunga, Ivory wanazitumia zao!! Ila ni goli la kizembe wamefungwa hapo!
Kongo wanafungwa goli la kizembe mno.
kufanikiwa kwa timu ya taifa kuanzia kwenye vilabu maana ndiyo vinakuwa na wachezaji muda mrefu kwenye msimu wa ligi.Kuna juhudi yoyote unafanya kubadilisha hii hali ili na sisi tucheze mpira na kufanikiwa?
Nahisi utakuwa uko Congo ila unaogopa kusema wazi kwa sababu unahisi watafungwa.
Nikweli pale nyuma ni kama hawajiamini na pasi wanazopigaKukosa Uzoefu kunawagharimu! Wamekosa nafasi kadhaa za kufunga, Ivory wanazitumia zao!! Ila ni goli la kizembe wamefungwa hapo!
yeyote anayeangalia online naomba anisaidie
thanks mkuuUnataka msaada gani? kama ni link hii hapa.
Watch Live D.R. Congo - Ivory Coast Online Video CAF Africa Cup of Nations - Football
game ya leo napenda DRC achapwe ili tuwe na fainali nzuri...
natumai Ghana naye atapita game yake na E.G
Fainali nzuri kwako ni ipi?
Akimaanisha GHANA v IVORY COST
Fainali nzuri kwako ni ipi?
Leo DRC vipi tena?
Drc na Eq. G siyo timu?
Hapa naona Drc anapiga game vizuri tu
Hii hatua ni mtoano sio wakati wa kupiga game nzuri...
Ivory Coast anacheza kutafuta matokeo na tayari kashayapata...
Sasa kama ni mtoano hata final si mtoano pia? Utategemea game gani nzuri?