Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Hongera Ivory Coast, hongera pia DRC hatua mliyofikia si haba ukizingatia mliingia kwenye hizi fainali kama best loser.
 
Naona hatuelewani...

Nakuelewa sana ila sidhani kama tutaona game nzuri zaidi ya woga na kukamiana.
Unakumbuka game ya ivory coast na zambia walivyokutana final?
ilikuwa game nzuri sana lkn hawa wacheza ulaya sitegemei game ya ushindani wa kweli zaidi ya mabobish
 
_80788923_ghana_fan_getty.jpg
 
Mwamuzi wa leo ni ERIC OTOGO kutoka gabon

Eric_Otogo_referee-580.jpg


Tunaomba yasitokee kama ya robo fainali kama picha hapo chini. Tunisia walipewa nafasi ya kuoba radhi kwa utovu wa nidhamu lakini wamegangamala na hivyo wamefungiwa kushiriki fainali za AFCON 2017.


_80811657_africacupofnations.jpg


M
 
Hawa jamaa wakubebwa bebwa leo ndo wapo uwanjani.
 
Mpira umeanza wenyeji E.Guinea 0-0 Ghana.
 
Wazee wa mbeleko mbeleko kwanini bado tu hawajakamuliwa na hawa wajukuu Kwame Nkrumah!!!?
 
Back
Top Bottom