Ahh wenzako hata kwenye extra time mpaa wapewe penalty za maajabu ajaabu, na ni referie tu ndio anaona kama kuna penalty. kama umewafunga referie hamalizi match, mpaa Guinea wakomboe goli kwa penalty. Africa haita endelea kimpira kama tuna mareferier kama hawa, team ya mana inatolewa kwa makosa ya referies.Guinea waliqualify vipi Na huu mpira wao?
Misri ni baba wa kila kitu kwa afrika kihistoria hadi nchi zinazojiita muunangano wa kiarabu, kisoka kuanzia vilabu hadi taifa na hata kihistoria na kiustaarabu
sWamisri hawa ni waarabu na ni wavamizi wa Africa Walivamia misri 639 AD. kwahiyo soma historia kwanza kabla ya kudanganya.waarabu hawakuleta civilisation Africa, waliikuta wakacopy.
s
amahani kaka mimi sio mwanahistoria ila nafuata ktk maandiko za dini 3 za wafuasi wa Abraham(Kristu,Kiislamu na Kiyahudi)6ki kwenda mbali,na kijiografia najua wapo bara la afrika,samahani sina muda wa kulumbana siwezi malumbano,mchana mwema nakutakia.
Nataka kujua kam DRC Congo wamefuzu kuingia fainal
Leo mechi saa ngapi?
saa 4 kamili usiku
Mimi shabiki wa kibinda nkoi bana DRC ...hatariiii ...
Haya bado dk saba tu mpira uanze,sijui leo kati ya coupe decale na Ndombolo sijui nani atasonga