Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

_80785985_africancupofnations.jpg
 
Yaani hawa wenzetu wanapigana kila kukicha lakini wanafanikiwa . sisi tunaweza nini maana huwa sijui

Kuna juhudi yoyote unafanya kubadilisha hii hali ili na sisi tucheze mpira na kufanikiwa?
 
Kongo wanafungwa goli la kizembe mno.
 
uzalendo ni kuwa neutral...wote wachezao ni waafrika

Mkuu mpira hauna neutrality hata siku moja, lazima utakuwa na timu unayoishabikia. Hata Banacongo jirani zaidi. CIV 2-1 Congo.
 
Back
Top Bottom