Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Goooooooooool, nimeipenda hii goli waarabu wanafanya mambo kwa usahihi, mfungali ametuliza mpira ametulia na akafunga goli kwa ustadi mkubwa. dak ya 53 CIV 1-1 ALG
 
Dak ya 68 ivorians wanapata goli la pili. CIV 2-1 ALG
 
Dakika ya 69 Bony anaipatia Ivory Coast goli la 2 kwa kichwa baada ya adhabu ndogo ya Yaya Toure.
 
Manina hawa Ivory Coast kama vile walikuwa wanalishwa nondo tangu utotoni. Jamaa wameshiba hao
 
Hali ya Algeria si nzuri...

Safi sana
 
Dk 90 + 4

Ivory Coast 3 - 1 Algeria
 
Ivory coast na Kongo kinshansa, patamu hapo, ila bora tumefagia hawa waarabu, tumebaki wenyewe tu.
 
La tatu mwishoni kabisa. Ivory coast ndani ya Semi. Algeria pamoja ya kuwa ni timu bora(Fifa) ya Afrika hadi sasa wametolewa nje. Naona watalalamikia maamuzi ya refa, swala la ubaguzi wa rangi litaingizwa bila shaka
 
Walalamike kwa lipi?

Game ilikua fair
 
mechi ya high quality .. hizi timu zilifaa zikutane finali
 
Walalamike kwa lipi?

Game ilikua fair

Nimeangalia kwa muda mfupi (dk 20 hivi) nimeona kama vile refa alikuwa anapeta faulo kadhaa. Nadhani Algeria walizidiwa nguvu, mechi ilikuwa very physical, msuli wa Wapopo ulikuwa ngangari.
 
Back
Top Bottom