Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Sasa nitaangalia Semi bila presha. Hongera Ivory Coast, Drogba alikuwa alikuwa anawakata stimu sasa kiasi wanacheza kitimu.
 
Nimeangalia kwa muda mfupi (dk 20 hivi) nimeona kama vile refa alikuwa anapeta faulo kadhaa. Nadhani Algeria walizidiwa nguvu, mechi ilikuwa very physical, msuli wa Wapopo ulikuwa ngangari.

Ilikuwa amsha popo mbaya. Hawa waarabu tatizo lao bado wanaenda msikitini kabla ya mechi wakija wanakumbuka kucheza kijihad kama vita kumbe teknolojia siku hizi haiitaji hilo. Unapigwa ukiwa mbaaliii
 
Miamba iliyotinga nusu fainal ya Afcon;>< ><>< Equatorial Guinea, Congo DR, Ivory coast na Ghana. Ghana na hawa Ivory coast wanaweza kutinga fainal.
 
Game za Kiafrika huwa na physical battle karibu muda wote...

Nimeangalia kwa muda mfupi (dk 20 hivi) nimeona kama vile refa alikuwa anapeta faulo kadhaa. Nadhani Algeria walizidiwa nguvu, mechi ilikuwa very physical, msuli wa Wapopo ulikuwa ngangari.
 
Nimefurahi sana Ivory Coast kupita. Ningefurahi kama wangekutana na Ghana finali.
 
Algeria wamefungishwa virago vyao na Ivory Coast usiku huu 3-1. Wilfried Bony kapiga 2, Gervinho kamalizia!
 
Ilikuwa amsha popo mbaya. Hawa waarabu tatizo lao bado wanaenda msikitini kabla ya mechi wakija wanakumbuka kucheza kijihad kama vita kumbe teknolojia siku hizi haiitaji hilo. Unapigwa ukiwa mbaaliii
Ninyi timu yenu ya taifa inayotumia teknolojia ya siku hizi imefika wapi!! timu ya wachezaji wasio ingia msikitini wakakumbuka jihad??!, watu wengine bhana hovyo kabisa, hapa sisi tunawekena sawa kuhusu mambo ya mpira wewe na chuki zako dhidi ya waarabu peleka huko........
Wachingiaji kama wewe mkiwa wawili mnaweza kunifanya nilog out haraka manake mtanisababishia nitukane bure.....Na yule Juma Nyosso aliemtia dole Awadh Juma nae anacheza jihad kama vita!! au nae ni mwarabup??
 
J

Acha hasira kama muarabu wa Africa. Wakifungwa hasira tupu wakifunga goli wanaanza kujiangushaangusha na kuleta fujo zisizokuwa na msingi.
This's a game umefunga umefungwa tufurahi
 
Ilikuwa amsha popo mbaya. Hawa waarabu tatizo lao bado wanaenda msikitini kabla ya mechi wakija wanakumbuka kucheza kijihad kama vita kumbe teknolojia siku hizi haiitaji hilo. Unapigwa ukiwa mbaaliii

We gahba usilete udini ukatusababishia ban
 
Nigeria super eagles Mara 3 na egypt sijui mara 3 nadhani

Mkuu Misri wakiwa katika ubora wao wameshabeba ndoo hii mara 7 na kuna wakati wamekuwa wakibeba back to back...

Nigeria wao wamebeba mara 3 pekee wakiwa nyuma ya Ghana na Cameroun wenye rekodi ya kubeba mara 4...

Nigeria walipata kuwa na bahati ya kizazi cha dhahabu kipindi cha mwaka 1993 hadi 1999, lakini wakaishia kubeba kombe mara moja tu mwaka 1994...

Labda uniambie kuwa tumekosa mbwembwe za washangiliaji wa Kipopo nitakuelewa...
 
Mkuu Misri wakiwa katika ubora wao wameshabeba ndoo hii mara 7 na kuna wakati wamekuwa wakibeba back to back...

Nigeria wao wamebeba mara 3 pekee wakiwa nyuma ya Ghana na Cameroun wenye rekodi ya kubeba mara 4...

Nigeria walipata kuwa na bahati ya kizazi cha dhahabu kipindi cha mwaka 1993 hadi 1999, lakini wakaishia kubeba kombe mara moja tu...

Labda uniambie kuwa tumekosa mbwembwe za washangiliaji wa Kipopo nitakuelewa...

Mkuu Misri mara 7? Yaani ndio wamechukua mara nyingi kuliko timu zote Africa au?

lakini Nigeria chama langu nawakubali siku zote
 
Haswa mara 7...1957, 1959, 1986, 1998, 2006, 2008, 2010

Machafuko ya kisiasa nchini mwao yamewarudisha sana nyuma...

Hata vilabu vyao ndio vilivyo na mafanikio kuliko vilabu vyovyote Afrika...

Nigeria ni wazuri lakini mbwembwe nyingi kiasi wanakosa utaifa...
 
Haswa, machafuko ya kisiasa nchini mwao yamewarudisha sana nyuma...

Hata vilabu vyao ndio vilivyo na mafanikio kuliko vilabu vyovyote Afrika...

Nigeria ni wazuri lakini mbwembwe nyingi kiasi wanakosa utaifa...

Kweli Naija mbwembwe sana nakumbuka 1998 worldcup tulipigwa na denmark 4 -1 kisa mbwembwe zilizidi... ila umenifungua sana kuhusu Misri kumbe kama sio machafuko kwao basi wangetisha mpaka leo... pamoja mkuu
 
Niliwapenda sana hao Nigeria wakiwa Olimpiki maana waliwachachafya wazungu...

Lakini wakati ule wa fainali za kombe la dunia 1998, waliniudhi na huo ndio ukawa mwisho wangu kuwapenda...

Mbwembwe alizokuwa akizifanya Nnwako Kanu mbele ya Schmeichel n.k vyote vilinitibua...

Pamoja sana...
 
Haswa mara 7...1957, 1959, 1986, 1998, 2006, 2008, 2010

Machafuko ya kisiasa nchini mwao yamewarudisha sana nyuma...

Hata vilabu vyao ndio vilivyo na mafanikio kuliko vilabu vyovyote Afrika...

Nigeria ni wazuri lakini mbwembwe nyingi kiasi wanakosa utaifa...
Misri ni baba wa kila kitu kwa afrika kihistoria hadi nchi zinazojiita muunangano wa kiarabu, kisoka kuanzia vilabu hadi taifa na hata kihistoria na kiustaarabu
 
Back
Top Bottom