Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

DRC anapata penalty dk 23

Goooooooooooo 1-1.
 
Penalty nzuri sana iliyopimwa. Kinshasa na Lumbumbashi kutakuwa kunawaka mioto.
 
Hawa Tembo leo lazima wawe sisimizi mbele ya DRC DK 28 moja moja.
 
Yaani hawa wenzetu wanapigana kila kukicha lakini wanafanikiwa . sisi tunaweza nini maana huwa sijui
 
Back
Top Bottom