kama kuna link inayoonyesha online naomba,pleaseDakika ya 61 Atsu anaipatia Ghana goli la 3.
kama kuna link inayoonyesha online naomba,please
Hii ndio game ambayo watu wengi wanaoipenda chelsea hasa wa afrika wataumia sana manake utafiti unaonesha watu wengi wanaoipenda chelsea wanaipenda sana ivory coast.
Bora wangepita mali wangefanya jambo la maana kuliko haya majamaa, aibuuuuuteh teh teh haya ndio madhara ya kupita kwa bahati nasibu..
Asante maana nimechoka kugombania rimoti na watoto,wao ni catoon tu.
Ndo nini hiki?mauaji ya halaiki kwa walioteleza na ganda la tombola !
Nasubiri kwa hamu mechi ya Algeria na Ivory Coast...
Hii ya mwanzo ilikuwa changamsha genge tu...
Guinea waliqualify vipi Na huu mpira wao?
Ndo nini hiki?
Hii ndio game ambayo watu wengi wanaoipenda chelsea hasa wa afrika wataumia sana manake utafiti unaonesha watu wengi wanaoipenda chelsea wanaipenda sana ivory coast.