ngoja tuwaangalie hawa tembo na mbweha wa jangwani
Ningefurahi sana kama mbweha wa jangwani wangemnyofoa huyo tembo minyama minyama yake akarudi kwao na mifupa tu!
Moja moja
Msaada was TV ya Kongo inaonyesha afcon kupitia azam tv.
12728 H 30000, 12054 V 29950. Ingiza hizo frequency.Naanisha frequency za TV ya Kongo inaonyesha mpira