Zanta
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,028
- 797
Mkuu wewe angalia game kama ni uchambuzi hata wewe unaweza kuchambua.
Hahaha haya mkuu ngoja tule uhondo
Mkuu wewe angalia game kama ni uchambuzi hata wewe unaweza kuchambua.
Uzi umevamiwa na wachakachua ving'amuzi mpaka Watangazaji wameingia mitini wamesahau kututangazia Final score...
Aiseeeeeeeeeee uzi umedoda, ngoja niwawekee update kwa match za leo:
Algeria Vs Ghana, mechi imeisha kwa Ghana kuibuka na ushindi wa goal moja lililofungwa na nahodha Asamoah Gyan dakika ya 93. Hivi ni dakika ya 11 mechi baina ya Afrika kusini na Senegal inaendelea na matokeo bado milango migumu.