Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Kama maelekezo ya hapo juu yameshindikana, fuata mchakato huu.

Kwanza unatakiwa kutengeneza satelite yako.
Jinsi ya kutengeneza satelite yako.
1. Menu kisha shuka kwenye 'search', kisha bonyeza OK.
2. Shuka kwenye satelite List, kisha bonyeza OK.
3. Bonyeza kitufe cha kijani kwenye remote ambacho ni cha ku-add. Itatokea list fulani. Wewe bonyeza OK ambayo kwenye Tv ni keyboard, itatokea keyboard. Andika jina lolote fupi kwa kutumia < au > kuelekea kwenye herufi kisha Ok kuichagua herufi. Mfano andika Tanzania. Hayo maandishi yatatokea kwenye input String. Baada ya hapo sogeza alama ya njano kwa kutumia < au > mpaka kwenye save. Bonyeza Ok. Itatokea list. Baada ya hapo badilisha kwenye

-LNB: 9750-10600
-Location: East
-Longitude: 5.0

Note: namba ya hapo kwenye LNB freq utaipata kwa kutumia mishale ya < au >.

Baada ya hapo save kwa kubonyeza OK.
Bonyeza Menu, baada ya hapo satelite yako uliyotengeneza itaonekana kwenye list ya satelite.
Subiri kama dk 1 signal ikae sawa! Signal lazima iwe nzuri.

Baada ya hapo, sasa kaweke hizo frequency kwenye satelite uliyotengeneza.
Jinsi ya kuziweka.
1. Menu kisha shuka kwenye search, bonyeza OK
2. Shuka kwenye satelite list kisha bonyeza OK
3. Nenda kwenye satelite uliyotengeneza kisha bonyeza OK.
4. Bonyeza kitufe cha kijani kwenye remote ambacho ni ku-add. Kisha weka
-transponder:12054,
-SymRate:29950,
-Polar: V
Kisha bonyeza OK ku-save, kisha bonyeza Menu.
Panda juu kwenye Auto Serach, bonyeza OK, na hakikisha kwenye satelite hapo juu unachagua satelite uliyotengeneza, sio ya Azam Eutelsat. Ukishachagua satelite yako, bonyeza OK kusearch.
Baada ya hapo kumaliza ku-search, bonyeza OK, kisha tumia kitufe cha kuongeza sauti < au > kuona chaneli zilizoongezeka.
Chagua utakayo, enjoy!
 
Jaluo Oyongo la Cameroon limefunga goli safi sana. Halafu naona wanna jaluo lingine golini
 
barafuyamoto
nimetengenza na kuappear kama hapo down ila hakuna extra channel na game nimekosa kuangalia labda tena kesho.

Kayoka

LNB Freq 9750-10600
DiSEqC None
LNB Power Auto
22K Auto
Switch Port OFF
Longitude East 5.0

Intensity ..................77%
Quality ..................40%.
 
Last edited by a moderator:
Jaluo Oyongo la Cameroon limefunga goli safi sana. Halafu naona wanna jaluo lingine golini

niwasoma tu hapa wakuu!
Azam Tv wamesitisha kurusha mpira kupitia UBC, basi nimekuwa kama mkiwa.
 
Wanaweza kufungwa hawa cote d'ivoire kwa huu mpira wao wanaocheza wa ki-father father

Muda wote Yaya Toure anaiwazia Arsenal tu. Anachofikiri je Ivory Coast ikifanikiwa kutinga fainali, Man City si ataikuta nafasi ya nane...
 
barafuyamoto
nimetengenza na kuappear kama hapo down ila hakuna extra channel na game nimekosa kuangalia labda tena kesho.

Kayoka

LNB Freq 9750-10600
DiSEqC None
LNB Power Auto
22K Auto
Switch Port OFF
Longitude East 5.0

Intensity ..................77%
Quality ..................40%.

Pole sana kwa kukosa mechi, ila kama umefika hapo na ku-save, ni hatua ya kwanza ya kutengeneza satelite yako, umeikamilisha vizuri. Sasa nenda sehemu ya pili na ya mwisho,

Kaweke hizo frequency kwenye satelite uliyotengeneza.
Jinsi ya kuziweka.
1. Menu kisha shuka kwenye search, bonyeza OK
2. Shuka kwenye satelite list kisha bonyeza OK
3. Nenda kwenye satelite uliyotengeneza kisha bonyeza OK.
4. Bonyeza kitufe cha kijani kwenye remote ambacho ni ku-add. Kisha weka
-transponder:12054,
-SymRate:29950,
-Polar: V
Kisha bonyeza OK ku-save, kisha bonyeza Menu.
Panda juu kwenye Auto Search, bonyeza OK, na HAKIKISHA kwenye satelite hapo juu umechagua satelite uliyotengeneza, sio ya Azam ambayo ni Eutelsat. Ukishachagua satelite yako, bonyeza OK kusearch.
Baada ya kumaliza ku-search, bonyeza OK, kisha tumia kitufe cha kuongeza sauti < au > kuona chaneli zilizoongezeka.

Wengi tumeangalia hizi mechi kwa mtindo huu ktk Tv Congo na CRTV, wanaongea kifaransa watangazaji wa uwanjani ila mechi inaeleweka. Jitahidi tena, umefika pazuri!
 
Last edited by a moderator:
barafuyamoto
nimetengenza na kuappear kama hapo down ila hakuna extra channel na game nimekosa kuangalia labda tena kesho.

Hao
Kayoka

LNB Freq 9750-10600
DiSEqC None
LNB Power Auto
22K Auto
Switch Port OFF
Longitude East 5.0

Intensity ..................77%
Quality ..................40%.
hapo kwenye LNB frewuence unaweka zote hizo mbili au unachagua moja
 
Last edited by a moderator:
samahani ni channel namba ngapi katika king'amuzi chako cha azam?
.
Ebu fuata maelekezo ya Barafuyamoto hapo juu mambo yako vizuri kabisa wala hutajuta; ni FTA channel utakazopata na zinaonesha vizuri kabisa.
 
.
Ebu fuata maelekezo ya Barafuyamoto hapo juu mambo yako vizuri kabisa wala hutajuta; ni FTA channel utakazopata na zinaonesha vizuri kabisa.
Hebu nisaidie hapo kwebye NLB Frequence unaweka zote hizo mbili au unachagua moja?
 
Hebu nisaidie hapo kwebye NLB Frequence unaweka zote hizo mbili au unachagua moja?

Unaweka zote mbili, ila hauiweki manually, unatumia mishale ya < au > kuchagua namba hizo za NLB freq. NLB freg zimeshawekwa sasa wewe unatakiwa kuchagua kwa kutumia hiyo mishale freq uitakayo.
 
Hawa wagabon wanajituma haswa, nadhan kuna kitu wanakitafuta kwenye haya mashindano.
 
Unaweka zote mbili, ila hauiweki manually, unatumia mishale ya < au > kuchagua namba hizo za NLB freq. NLB freg zimeshawekwa sasa wewe unatakiwa kuchagua kwa kutumia hiyo mishale freq uitakayo.
Thanks Man imekubali, ila ndo hivyo kusikiliza kifaransa, hivi hakuna inayotangaza kiingereza?
 
Thanks Man imekubali, ila ndo hivyo kusikiliza kifaransa, hivi hakuna inayotangaza kiingereza?

Hakuna inayotangaza kwa lugha ya kiingereza mkuu Zanta. ila si kabumbu unaliona???
 
Thanks Man imekubali, ila ndo hivyo kusikiliza kifaransa, hivi hakuna inayotangaza kiingereza?
Mkuu wewe angalia game kama ni uchambuzi hata wewe unaweza kuchambua.
 
Thanks Man imekubali, ila ndo hivyo kusikiliza kifaransa, hivi hakuna inayotangaza kiingereza?

Hamna ya kingereza. Ila wakati wa break, hiyo crtv ni ya cameroon hivyo panel yao wanaongea kingereza na kifaransa.
 
Back
Top Bottom