mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,092
huyu gevino hafai kabisa anatakiwa arudishwe nyumbani
Huyu jamaa alidhani hata akicheza ujinga ataachwa tu eti kwa kuwa anachezea ulaya!!!!
huyu gevino hafai kabisa anatakiwa arudishwe nyumbani
Mkuu ziko vilevile.
.Wadau heb nisaidie basi na mie!
Toka mashindano haya yaanze naangali kupitia UBC katika king'amuzi cha Azam ile naona leo Wamebana.
Je kuna namna yoyote yakufanya nimeweze kupata hzo channel zingine wanazorusha AFCON 2015?
Ndio, 'kinachakachulika', mi naangalia sasa kupitia Azam. Ni kamchakato kidogo kama ni mgeni, kuna uzi upo jukwaa la technology, gadget unaitwa elimu ya bure Azam Tv. Ukiusoma wote utapata cha kufanya. Kwa sasa muda mdogo, nikikuelekeza, mechi itakuwa ishaisha, kaisome ili mechi zijazo usikose!
Mkuu ziko vilevile.
Ebu bonyeza OK, kisha kitufe cha kuongeza sauti (>), uone kama kuna Tv zingine!
mkuu barafuyamoto nimesoma ule uzi ila mpaka sasa sijapata ufumbuzi, ila kama utapata muda please try to share with me hayo mautundu.
Mkuu mbona mimi namba 4 na,5 nikibonyeza haisogei?
hazijabadilikaUkifika kwenye 'satelite list' unatakiwa ubonyeze OK ili uingie box la ndani. Baada ya hapo ukitumi kitufe cha kuongeza sauti (>), zinasogea!
.
Nenda CRTV mambo poa!
Chanel za ziada hazikai kwenye chanel za kawaida. bonyeza ok halafu bonyesha kitufe cha kuongezea sauti ili kuziona chanel zilizoongezeka.
mie nikifanya hivyo naona panaandikwa "Radio Last" na kuona clouds fm, dw, magic fm, rfi, bbc na mcd.
Je tatizo liko wapi mkuu mkolaj?
najaribu hayo maujanja kama ilivyoelekezwa na bwana barafuyamoto ila inashindika na wala sioni hizo extra channel hata tu ile wanayoonyesha mpira.
Ninazoziona ni zile zile tu chaneli 62 za siku zote.
.
Nenda CRTV mambo poa!
najaribu hayo maujanja kama ilivyoelekezwa na bwana barafuyamoto ila inashindika na wala sioni hizo extra channel hata tu ile wanayoonyesha mpira.
Ninazoziona ni zile zile tu chaneli 62 za siku zote.