kwa sisi wa DSTV tuliolipia kifurushi cha access (17,000) mnatusaidiaje wadau? nasi tunahitaji kuangalia AFCON ila uwezo nao wa kifedha si mzuri. ujuzi wenu huo mtupatie na sisi pia. tunajua mmepata kwa gharama ,ila mtusaidie bure tu. halafi sisi tutawabariki kwa mibaraka kibao.
Kwa DSTV, kutokana na mtaalamu aliyetupa hizi frequence humu JF jukwaa la technology, elimu ya bure Azam tv, alisema DSTV decoder haziwezi 'kuchakachulika'!
mkuu barafuyamoto vp kuhusu king'amuzi cha Azam kinaweza kuchakachuliwa na kupata hzo channel mnazofaidi wenzangu huko?
Namiss sana kuiona AFCON 2015.
Dakika ya 60 Traore kidogo aipatie Guinea goli la pili baada shuti lake kali la mguu wa kushoto kugonga mwamba na kutoka nje.
mkuu barafuyamoto vp kuhusu king'amuzi cha Azam kinaweza kuchakachuliwa na kupata hzo channel mnazofaidi wenzangu huko?
Namiss sana kuiona AFCON 2015.
Ngoja tuelekezane kidogo, 1. Menu 2. Shuka search kisha OK, 3. Shuka satelite list kisha OK 4. Ktk Eutelsat, bonyeza kitufe kuongeza sauti (>) ili usogee kulia, 5. Kisha bonyeza kitufe cha kijani kwenye remote yako ambacho kwenye tv ni (add), kwenye transponder weka namba 12728 , kwenye Symbol rate weka namba 30000, na kwenye polarization iwe 'H'. Baada ya hapo bonyeza OK kusave.baada ya hapo bonyeza menu, kisha nenda Auto search, 6. Bonyeza Ok. Angalia chaneli baada ya ku-search kama zimeongezeka.