Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,808
- 110,043
sauzi pumbavu sana,la 3.
Timu za Kiarabu huwa zinajua sana kutumia nafasi...
sauzi pumbavu sana,la 3.
UBC wanarusha
Wameshabana, UBC wamewabania Azam. Ila yele mautundu ya frequencies ndo yanafanya kazi sasa!
Kweli mkuu!
RTVGE kuna marudio ya Zambia na Congo DRC, mii nipo CRTV nakula game ya Ivor coast na Guinea!
Sawa kabisa, kuna chaneli tatu wanaonyesha live, issue lugha wanatumia kifaransa, lakini football tuna lugha moja tu! Mpira unaeleweka!
wajinga sana na kifaransa chao! Channel ya 3 ni ipi mkuu? Maana ubc washazingua, wamewakazia Azam! Mii nimebaki na rtvge na crtv
Tv congo na crtv kwa hewa muda huu,wajinga sana na kifaransa chao! Channel ya 3 ni ipi mkuu? Maana ubc washazingua, wamewakazia Azam! Mii nimebaki na rtvge na crtv
Kuhusu dstv sijui tukusaidiaje!! ingekuwa azamtv tungekupa maujuzi ya kuongeza chanel za ziada.kwa sisi wa DSTV tuliolipia kifurushi cha access (17,000) mnatusaidiaje wadau? nasi tunahitaji kuangalia AFCON ila uwezo nao wa kifedha si mzuri. ujuzi wenu huo mtupatie na sisi pia. tunajua mmepata kwa gharama ,ila mtusaidie bure tu. halafi sisi tutawabariki kwa mibaraka kibao.