naangalia mechi ya Algeria vs S.Africa kupitia UBC ila mbona sioni wakifanya replay yoyote!! .
kwa mfano kama goli likiingia na hujaona wakati linafungwa hawarudii tena kuonyesha jinsi lilivyofungwa, sijui tatizo ni nini?
S.A watajutia hii mechi, wanakosa sana magoli.