Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

GOOOOOOOOL, dk 57 Ghana 1-1 Senegal, Mame Diouf anaisawazishia senegal
 
Kadi ya manjano kwa mchezaji wa ghana dk 64 ghana 1-1 senegal
 
Ayaaaaaaaaaaaaaaah!!! umeme unakatwa patamu aiseeeee!! hivi ninyi tanesco mbona mna roha mbaya kiasi hichi jaman?? Jamani mnaofuatilia game ya ghana vs senegal wekeni updates basi. na ninyi tanesco acheni mambo haya bhana!!
 
Mchezo umepooaza mtangazaji kapooza yaani ndo mana watu wanenda kuangalia epl
 
Ayaaaaaaaaaaaaaaah!!! umeme unakatwa patamu aiseeeee!! hivi ninyi tanesco mbona mna roha mbaya kiasi hichi jaman?? Jamani mnaofuatilia game ya ghana vs senegal wekeni updates basi. na ninyi tanesco acheni mambo haya bhana!!
Dakika ya 88 bado moja moja
 
Diof leo alikuwa mrefu!/asipokuwa na Crouch karibu anaonekana mrefu
 
Hii Ghana ukilinganisha na iliyocheza na Marekani halafu ikacheza na Uruguay mwaka 2010 SA kuna tofauti kubwa sana.
 
Hawa Tanesco ni bure kabisa, mvua kidogo tu wanakata umeme.
 
Dakika ya 38 bado milango migumu. Standard ya mpira kwa kweli sio ya juu. Ni long balls zisizokuwa na malengo.
 
Dakika ya 41 Wasauzi wanafanya shambulizi la nguvu lakini kipa wa Algeria anaokoa.
 
Angalau leo SA wanacheza soka linaloeleweka.
 
Dakika ya 51 Phala anaipatia Sauzi goli baada ya gonga nzuri.
 
Dakika 2 baadaye Sauzi wanapata penalti lakini Mashava anapiga shuti lina gonga mwamba na kutoka nje.
 
Back
Top Bottom