Africa amka, anza kutengeneza majina yako

Ukienda kwa wenzetu hutoweza kupata mzungu anaitwa juma , onyango, ama, Mkome, lakini mtu atajiona Wa maana sana kuita jina la kizungu kuanzia jina la kwanza kati hadi la mwisho
Baraka cameroon obama geleta
 
Tusichanganye dini na majina kwani Mimi nikibatizwa kwa jina la okonkwo ama papii ,ama kabamba , ama shishimbi je nitakua nimeenda kinyume na mzizi Wa dini?
Shekh kipozeo nampendaga sana. Yupo ustadh lyanga. Ila muda mwingine majina ni sunna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom