Kenya 2022 Afisa wa Uchaguzi aliyetoweka akutwa amefariki

Kenya 2022 General Election

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,042
1,679
Mwili wa aliyekuwa Msimamizi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) katika Jimbo la Embakasi Mashariki, Daniel Mbolu Musyoka, ambaye alitoweka akiwa katika eneo lake la kazi Agosti 9, umeokotwa Kajiado

Maafisa wa Polisi wa eneo hilo, wamesema walitahadharishwa kuhusu kuwepo kwa mwili wa mwanamume wa makamo msituni Jioni ya Agosti 15, ambapo baadaye ulitambuliwa kuwa wa Afisa huyo

Taarifa zaidi zinasema kuwa mwili wa Marehemu ulionyesha dalili za mapambano na mateso

.....................................

Independent Electoral and Boundaries Commission returning officer for Embakasi East Constituency, Mr Daniel Mbolu Musyoka, who disappeared while at work in Nairobi on Wednesday last week.

The body of the missing Embakasi East Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) returning officer Daniel Mbolu Musyoka has been found in Kajiado.

On Monday evening, police officers from Loitoktok, Kajiado South sub-county were alerted over the presence of the body of a middle aged man in forest. According to Loitok tok police boss Kipruto Ruto, the body was identified by his sisters Mary Mwikali and Ann Mboya at Loitokitok sub-county mortuary.

"His two sisters identified the body lying at Loitoktok sub county hospital last night. We are waiting communication from police headquarters either to ferry the body to city mortuary or to remain here," Mr Ruto said. Mr Musyoka, 53, was serving as returning officer at Embakasi East polling station in Nairobi county.

According to Mr Ruto, the middle aged male body was discovered early on Monday in Kilombero forest, at the foot of Mt Kilimanjaro by herders. The gruesome find was made by herders. The body was reportedly dumped into the valley of a dry seasonal river.

The area is a notorious dumping site for murder victims. The police boss said the body was naked, though the man’s clothes — a track suit and a Maasai shuka — were found at the edge of the valley.
There were visible signs of struggle and torture on the victim’s body, he added.

No identification documents were recovered near the man’s body. "It is evident that the victim was killed elsewhere and the body dumped in the valley. The body has scars indicating torture before the death. He possibly died a painful death,” Mr Ruto said.

The body was moved to Loitokitok Sub-County Hospital mortuary awaiting identification after police officers collected fingerprints. "We are reaching out to families that have lost their loved ones to come for identification as we wait for fingerprints processing,” said the police boss who added that they could not speculate on the identity of the dead man.

Source: Daily Nation
 
Kwa maana nyingine ni kwamba matokeo yaliyotangazwa yalithibitishwa na mtu mmoja maana wanne walisusia, mmoja alikuwa mateka na mwningine Mwenyekiti
 
Hivi kwanza imekuaje Ruto awe na Wabunge wachache halafu ashikde Urais?

Lazima hapa kuna kafara nyingi zimetolewa tusubir tu matokeo
Yaitwa demokrasia, hapa chini wanampigia kura yule mbunge na mca wanaomtaka na ywaweza kua ametoka chama chengine. Kisha kura ya urais yakwenda kwa yule anayefaa kukalia hicho kitu.

Politics is local

Pamoja?
 
Afuu bado mnadai tujifunze kutokana na uchaguzi wa kenya hapanaa
Waniambia uchaguzi huu ambao ulikuwa top 3 bora afrika nzima kwa transparency and fairness haufai kuigwa? Hata rais wenu mstaafu kafurahishwa na uchaguzi wetu.

Ni muhimu sana kuacknowledge the obvious.
 
Back
Top Bottom