TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Dah,haya mambo ni hatari sana,najaribu kuwaza ndio unamkuta kona mtu kama huyu kamshilia binti yako umemsomesha mpka chuo anamfanyizia mambo ya kishetani,sijui utachukua hatua gani kwa kweli...
 
Back
Top Bottom