TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Dah,haya mambo ni hatari sana,najaribu kuwaza ndio unamkuta kona mtu kama huyu kamshilia binti yako umemsomesha mpka chuo anamfanyizia mambo ya kishetani,sijui utachukua hatua gani kwa kweli...
 
Sa
Kauliwa kisa kuchepuka na wake za watu. Mtu msagaji bado kicheche, call that bitch TRIPLE THREAT
Sasa kama Msagaji anachepuka na wake za watu na hao wake za watu nao wanasagana si inamaana na hao wake nao ni wasagaji??

Au mimi ndio sielewi??
Africa kuna laana kubwa sana.

Eti analaumiwa msagaji na anaosagana nao hawaangaliwi kabisa.
 
Back
Top Bottom