cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 85,848
- 137,579
Bora wee umesemaa, kuna habari imepostiwa sio mda Fb kwa Fahari media,Huko Geita wanauwana Kila siku ,kuanzia Albino Hadi vikongwe.
So Mimi sioni Cha ajabu huko. Walishazoea haya
Mlinzi wa eneo ktk frem 7 ameuawa na frem zimevunjwa watu wameibaa Mali.
Huko Geita, matukio ni kawaida.