Afisa tarafa 145 wataitwa lini kazini??

Afisa tarafa 145 wataitwa lini kazini??

Mzee Mpili

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
39
Reaction score
3
Nakumbuka interview ilifanyika tarehe 4-10-2012 (written) iliyohudhuriwa na watu 500, kisha tarehe 5-10-2012 (oral) na ilihudhuriwa na watu 250 waliofaulu written. Je, hao 145 kati ya 250 wataitwa lini kazini?? Serikali iwe makini kuna ajira mpya za walimu 28,000 na kupandisha madaraja watumishi stahili ufikapo mwezi April mwaka huu 2013. Wataitwa lini hawa afisa tarafa?
 
Back
Top Bottom