Afisa mtendaji wa kijiji cha lamba ashikiliwa na polisi kwa kutoa kibali cha kuuza ng'ombe usiku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afisa mtendaji wa kijiji cha lamba ashikiliwa na polisi kwa kutoa kibali cha kuuza ng'ombe usiku

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by UGHANDI, Feb 13, 2012.

 1. U

  UGHANDI New Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jeshi la polisi mkoani singida linamshikilia afisa mtendaji wa kijiji cha lamba,tarafa ya mgori singida vijijini rajabu athumani na mwenyekiti wa kijiji hicho,calvine salungo kwa tuhuma za kutoa kibali cha kuuza ng'ombe usiku
   
Loading...