afisa mikopo

Afisa Mikopo (Loan Officer au Credit Officer) ni mtaalamu wa masuala ya fedha nchini Tanzania ambaye ana dhamana ya kupokea, kufanya uchambuzi, na kutoa mapendekezo au maamuzi ya kuidhinisha maombi ya mikopo kwa watu binafsi, vikundi, au makampuni.

Huyu ndiye mtu wa kwanza unayekutana naye unapoingia benki au taasisi ya kifedha ukiomba mtaji au mkopo wa dharura.
  1. D

    JamiiForums Tanzania Afisa mikopo kwenye Microfinance anatafuta kazi

    Habari wakuu namleta mdau hapa anasema yeye anaomba kazi kwenye Microfinance yoyote kama afisa mikopo au nafasi nyingine yoyote. SIFA ZAKE ELIMU KIDATO CHA NNE NA DIPLOMA YA MASOKO Ujuzi anajua vizuri kutumia Computer amewahi kujitolea sehemu kama Mhasibu miaka miwili (yaani kufanya kazi za...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanafunzi Kigamboni City College nakaribia kufukuzwa, Boom la nne hadi leo halijatoka, Afisa Mikopo hajulikani alipo

    Naitwa Lutamila Malindi Ibrahim, mwanafunzi wa Kigamboni City College of Health and Allied Sciences. Nimesajiliwa kwa namba ya usajili: S3363.0137.2021. Ninaandika kwa uchungu na hofu kubwa. Mpaka leo hii, tarehe 6 Julai 2025, sijapata boom la nne kutoka HESLB. Hali hii imenitesa sana...
  3. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania KWA WATUMISHI WA UMMA:Fanya hivi ukitendewa ndivyo sivyo na afisa mikopo

    Habari za mida hii GT...niende kwenye mada Katika kujikwamua na maisha ya kawaida huenda ukajikuta unaingia benki na hivyo kufanya mawasiliano na afisa mikopo... Picha linaanza ambapo huanza kukupigia hesabu za mkopo wa muda mrefu mfano miaka 9... Tatizo linaanzia pale ambapo mnakubaliana...
  4. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Afisa mikopo na laana alopewa na mteja

    Anachotaka Christine ni kupanda cheo hapa benki toka kuwa afisa mikopo mpaka kuwa meneja wa tawi. Anaamini akikaa hapo, wazazi matajiri wa 'boyfriend' wake watamheshimu na kumwona anafaa kuolewa na mtoto wao. Lakini sasa shida ni moja, mfanyakazi mwenzake anayeitwa Stu. Bwana huyu naye...
  5. Be_fm47

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mshahara wa Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo

    Habari Team, Mwenye kujua ni kiasi gani afisa mikopo wa loan board analipwa kuanzia basic salary
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Afisa Mikopo

    Kuna nafasi ya kazi ya afisa mikopo kwenye ofisi ya Microfinance. Ni ofisi ambayo ndo inaanza kutoa huduma ya mikopo midogo midogo hivyo inahitaji mfanyakazi mwenye elimu ya diploma ya finance,Marketing, Accounting au Business Administration. Muombaji anatakiwa awe amewahi kufanya kazi kama...
  7. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa afisa mikopo

    Heshima kwenu. Naomba kujuzwa, hivi hizi kampuni za mikopo huwa zinalipa mshahara wa Tshs ngapi kwa afisa mikopo? Je, mbali na mshahara huwa Kuna benefits zingine ambazo mfanyakazi anapata?
Back
Top Bottom