Afisa mazingira daraja la ii tunapaswa kusoma wapi angalau kuvuka usaili wa kuandika

Afisa mazingira daraja la ii tunapaswa kusoma wapi angalau kuvuka usaili wa kuandika

nguamo

Senior Member
Joined
Apr 13, 2024
Posts
153
Reaction score
249
Naomba kujuzwa wapi tusome nafasi ya afisa mazingira daraja la II kwa ailiyewahi kufanya usaili kwenye hii kada
 
Jamaa walisema watatoa vituo vya usaili online naona kimya
 
Naona wameshatoa,, wakuu tuombeane kila la kheri
 
Vipi vituo wamepanga kwa kanda au kila mtu kapangiwa mkoani kwake ??
 
Tukutane kigamboni kwenye stage inayofuata
 
Kwa wale walio pata tuwasiliane tuone cha kufanya
 
Back
Top Bottom